Vurugu ilizuka wakati wa uteuzi wa chama cha ODM katika eneo bunge la Kasipul, kaunti ya Homa Bay baada ya makundi pinzani kutofautiana hali iliyosababisha uharibifu. Ghasia hizo zilisababisha kuharibiwa kwa magari kadhaa na hospitali moja katika eneo hilo inayomilikiwa na mgombeaji wa kiti cha bunge wa chama cha ODM, Newton Ogada. Taarifa kutoka makao makuu ya chama cha ODM imemlaumu Ogada na naibu gavana wa kaunti ya Homabay Oyugi Magwanga kwa kuhusika na ghasia hizo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive