Skip to main content
Skip to main content

Glasi moja ya bia inaweza kuimarisha afya ya ubongo - utafiti

  • | BBC Swahili
    7,154 views
    Duration: 1:56
    Kunywa glasi moja ya bia inaweza kuimarisha afya ya ubongo na kuongeza vitamini mwilini hususani B6 ambayo ni nzuri kwa afya ya akili. Hii ni kwa mujibu wa utafiti @frankmavura anaelezea kwa kina #bbcswahili #vitaminb6 #kingayamwili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw