- 5,244 viewsDuration: 1:43Fikiria kama kila ishara ya mkono unayofanya ingeweza kusikika kama maneno. Hilo ndilo lengo la glavu hii iliyobuniwa Tanzania, inayotafsiri lugha ya alama kuwa sauti. Je, ubunifu huu unaweza kuvunja vikwazo vya mawasiliano kwa watu wenye ulemavu wa kusikia? @damian_msonge ni mgunduzi wa glavu hiyo inayotazamiwa kubadilisha namna ya kuwasiliana kwa watu wenye uziwi 🎥: @bosha_nyanje Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw