- 267 viewsDuration: 1:13Gor Mahia Fc inatazamiwa kupokea nyongeza ya kifedha kwa kuongezwa kwa Kansai Plascon Kenya kama mshirika wa klabu. Gor mahia na Kansai Plascon wametia saini mkataba wa mwaka mmoja na thamani ya udhamini ambayo haijafichuliwa kwa umma. Mkataba huo unaifanya Kansai Plascon Kenya kuwa mshirika rasmi wa rangi kwa timu ya Gor Mahia mwaka wa 2026