- 4,699 viewsDuration: 1:34Dolly Parton alikuwa akifanya shughuli nyingi kama mwanamuziki wa country, mfadhili wa shughuli za kijamii, mwigizaji, msimuliaji wa hadithi na mfanyabiashara. Lakini mpaka kufika hapo haikuwa rahisi kwake, alitoka katika familia maskini. @davidnkya255 anaelezea #bbcswahili #dollyparton #RIPdolly Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw