Skip to main content
Skip to main content

Haaland anaendelea kuandika historia! ⚽

  • | BBC Swahili
    12,657 views
    Duration: 1:44
    Kutoka kufikisha magoli 100 Premier League kwa kasi zaidi hadi kufunga magoli matano katika mchezo mmoja wa Champions League mshambuliaji huyo wa Norway tayari ameweka rekodi kadhaa kubwa. Je, unazijua zote? Mwandishi wa BBC @loko_omi na taarifa zaidi - - #bbcswahili #soka #holland #kandanda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw