Skip to main content
Skip to main content

Haaland arejea na zawadi ya mnyama aliyekaushwa kombe la dunia

  • | BBC Swahili
    8,091 views
    Duration: 17s
    Nyota wa Norway Haaland arejea nyumbani akiwa na zawadi ya ukumbusho ya kushangaza kutoka Kombe la Dunia. Kikosi cha soka cha Norway kilirejea nyumbani baada ya kutolewa kwenye Kombe la Dunia, huku Erling Haaland akishuka kutoka kwenye ndege akiwa ameshika mnyama aina ya rakuni aliyekaushwa na kuhifadhiwa, ambaye inadaiwa alinunuliwa kwa dola 750 za Marekani. #bbcswahili #norway #kombeladunia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw