Skip to main content
Skip to main content

Hafidh Ameir ni nani? Mume wa Rais Samia aliyekuwa nyuma ya pazia

  • | BBC Swahili
    187,915 views
    Duration: 1:05
    Mume wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amefariki dunia Septemba 7, 2026, akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena, Zanzibar. Je Hafidh Ameir ni nani? #bbcswahili #tanzania #samiasuluhuhsassan Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw