- 966 viewsDuration: 3:29Jamii ya Samawathal iliyoko kaunti za kaskazini mwa mashariki mwa Kenya yafungua ukurasa mpya baada kumtawaza Sultan wao Mohamed Sameed katika hafla ya kitamaduni . Mamia ya wakazi, viongozi wa jamii na wageni kutoka maeneo mbalimbali walihudhuria hafla hiyo iliyopambwa kwa nyimbo na ngoma za jadi za Kisomali huko Masalani , ijara kaunti ya Garissa.