Skip to main content
Skip to main content

'Hakuna aliyejuu ya Sheria zetu, atakayevunja sheria atashughulikiwa-

  • | BBC Swahili
    35,551 views
    Duration: 1:00
    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anasema kuwa Tanzania ipo vizuri katika kufuata misingi ya haki za binadamu kwa muda mrefu huku akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria. Amesema hayo wakati wa kufungua mkutano mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali Arusha,Tanzania. #bbcswahili #foryou #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw