Skip to main content
Skip to main content

Hakuna usafiri, vizuizi vya polisi na uhaba wa pesa - Hali ilivyo Dar es Salaam #maandamano

  • | BBC Swahili
    14,215 views
    Duration: 2:11
    “Hakuna magari ya uchukuzi, kila baada ya kilomita chache kuna vizuizi vya polisi. Nilikuwa nimeshindwa hata kulipia gharama za hotelini” - Mkenya aelezea adha aliyopitia Tanzania kufuatia kutibuka kwa maandamano siku ya uchaguzi mkuu na hatua ambayo serikali ilichukua kuzima intaneti sasa kwa siku 5 📹: @anyikowoko - - - #maandamano #uchaguzi2025 #tanzaniantiktok🇹🇿 #foryou #bbcswahiliSubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw