- 21,690 viewsDuration: 54sHii ni taswira ya hali ilivyo katika eneo la Gongo la mboto, na baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es Salaam leo tarehe 9 Disemba ambayo ni sikukuu ya Uhuru nchini Tanzania, na siku ambayo pia yamepangwa kufanyika maandamano ya kuipinga serikali. Serikali imepiga marufuku maandamano hayo ikiyaita ni batili na kuwarai raia wabaki nyumbani na watoke tu kama kuna ulazima. - - - #bbcswahili #tanzaniatiktok #foryou #maandamano #demokra