- 68,524 viewsDuration: 1:07Mwenyekiti wa chama cha upinzani cha CHADEMA nchini Tanzania Tundu Lissu, amefikishwa mahakamani kusikiliza hukumu ya kesi inayomkabili. Mwandishi wa BBC @eagansalla_gifted_sounds na taarifa zaidi - - #bbcswahili #mahakamani #chadema #lissu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw