Skip to main content
Skip to main content

Hali tete Baringo baada ya Gideon Moi kujiondoa kwenye kinyang’anyiro cha useneta

  • | Citizen TV
    17,770 views
    Duration: 2:09
    Hali tete ilishuhudiwa leo kaunti ya Baringo, wafuasi wa mwenyekiti wa chama cha KANU Gideon Moi wakiandaa maandamano, baada ya Moi kujiondoa kwenye kinyang’anyiro cha useneta wa kaunti hiyo. Hatua ya Gideon Moi, imejiri saa chache tu baada ya mkutano wake na Rais William Ruto katika ikulu ya Nairobi jumatano