- 1,349 viewsDuration: 3:03Kenya imeendelea kukumbwa na hatari ya maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi, mimba za utotoni na hata dhuluma za kijinsia. Ulimwengu unapojiandaa kuadhimisha siku ya ukimwi duniani hapo kesho, Takwimu zinaonyesha kuwa wasichana wengi walipata mimba za mapema huku vijana pia bado wakiwa wamebeba mzigo mkubwa wa maambukizi mapya ya HIV mwaka jana.