Skip to main content
Skip to main content

Hali ya kashfa ya mafuta imezidi kupamba moto nchini

  • | Citizen TV
    955 views
    Duration: 3:18
    Maafisa wanne wakuu wa serikali wanaohusishwa na sakata ya uagizaji mafuta, walifika tena katika idara ya Upelelezi wa Jinai kuhojiwa kuhusiana na uingizaji wa mafuta tata nchini. Maafisa hao wakifika mbele ya makachero hapo jana mchana kueleza jinsi walivyoagizwa kutafuta mafuta zaidi nje ya mkataba wa serikali kwa serikali. Wakati huo huo, uchunguzi wa sakata hii ya mafuta umeendelea, huku watu 20 wakiwa tayari wameandikisha taarifa, akiwemo mkurugenzi wa kampuni moja ya mafuta nchini.