Skip to main content
Skip to main content

'Hali ya nchi ni salama'

  • | BBC Swahili
    23,205 views
    Duration: 2:21
    Jeshi la Polisi nchini Tanzania linasema mpaka sasa hali ya usalama wa nchi ni nzuri na vyombo vya ulinzi vinaendelea kuimarisha usalama katika maeneo mbalimbali. - Msemaji wa jeshi hilo, David Misime amesema kuwa hali inaendelea vyema na wanawahakikishia wananchi usalama wao pamoja na mali zao. - Aidha, Misime ametoa wito kwa wananchi kupuuza picha na picha mjongeo zinazosambaa kwenye ya mitandao ya kijamii zikionyesha kuwa maandamano yameanza katika baadhi ya maeneo nchini. Misime amesema, “Kuna watu wanatuma mitandaoni picha za tarehe 29,30,31 Oktoba, Tunawahimiza kupuuza picha hizo kwani taarifa zake si sahihi.” - - #bbcswahili #Usalama #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw