26 Mar 2026 1:34 pm | Citizen TV 219 views Duration: 1:43 Wakazi wa kaunti ya Nandi wametakiwa kujitokeza kupimwa ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB), huku takwimu mpya zikionyesha kuwa ugonjwa huo unachangia asilimia 5.8 ya vifo vyote vinavyoripotiwa kaunti hiyo.