Skip to main content
Skip to main content

Harambee Stars yaendelea kujinoa Afrika Kusini kuikabili Bafana Bafana kwenye mechi ya kufuzu AFCON

  • | Citizen TV
    148 views
    Duration: 43s
    Timu ya taifa ya soka ya Kenya, Harambee Stars, inaendelea na maandalizi jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini kuelekea mchuano wa kwanza wa kufuzu kwa fainali za AFCON 2027 dhidi ya wenyeji Bafana Bafana.