24 Mar 2026 7:57 pm | Citizen TV 101 views Duration: 1:02 Timu ya taifa ya kandanda Harambee Stars imewasili Kigali, Rwanda, kwa mashindano ya FIFA Series yatakayoanza Ijumaa. Harambee Stars watafungua mashindano hayo dhidi ya Estonia