5 Apr 2026 7:37 pm | Citizen TV 8,411 views Duration: 1:23 Wakazi wa Dandora pamoja na madereva wanahudumu eneo hilo walitembea hadi kituo cha polisi Buruburu kulalamikia utovu wa usalama. Hatua hii ikifuatia mauaji ya punde zaidi ya kondakta wa matatu hizo Joseph Mwangi