Hatari Kwa Usalama: Kiwanda chachunguzwa kwa kutumia mionzi

  • | KBC Video
    48 views

    Polisi katika kaunti ndogo ya Embakasi wanachunguza bohari moja lililo Kiangombe kwenye barabara kuu ya Mombasa kwa kutengeneza upya bidhaa za stima kwa kutumia teknolojia ya miale hatari ya mionzi. Kulingana na kundi la wachunguzi hao lililozuru kampuni hiyo,bidhaa zinazotumiwa ni hatari kwa wafanyakazi, wakazi wa sehemu hiyo na mazingira kwa jumla. Kiwanda hicho sasa kiko chini ya ulinzi wa polisi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive