Skip to main content
Skip to main content

Hatima ya kisiasa ya Okoth Obado yafikia kikomo

  • | Citizen TV
    16,154 views
    Duration: 2:49
    Alikuwa mwanasiasa wa aina yake katika eneo la Nyanza ambaye aliyekwenda kinyume na mkondo wa siasa wakati huo. Zachary Okoth Obado alikuwa mtu mwenye ushawishi mkubwa wa kisiasa lakini akionekana kuwa mtulivu na mwenye kauli za upole. Hata hivyo kuzama kwake, baada ya kuhusishwa na mauaji ya Sharon Otieno kumefikisha mwisho wa safari yake ya kisiasa