Hatma ya Gavana Nyaribo itajulikana Jumanne huku wawakilishi wadi Nyamira kupiga kura kesho

  • | Citizen TV
    229 views

    Wakazi wa kaunti ya Nyamira wana maoni mseto kuhusu hoja ya kung'atua mamlakani gavana Amos Nyaribo.