- 87,617 viewsDuration: 6:14Heha Movers ni watengeneza maudhui kutoka Kenya ambao wamevutia umakini mkubwa mtandaoni. Hapo awali walihusika katika uhalifu kwenye makazi yasiyo rasmi ya Kibera mjini Nairobi, lakini tangu wakati huo wamebadili maisha yao na sasa wanatumia maudhui ya mitandao ya kijamii kuhamasisha amani na kuwahimiza vijana katika jamii zao kubadilisha mienendo yao. Roncliffe alikutana nao jijini Nairobi ili kusikia simulizi ya safari yao na jinsi wanavyotumia uzoefu wao kuhamasisha mabadiliko chanya kwa wengine. #kenya #bbcswahili #hehamovers Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw