Skip to main content
Skip to main content

Heha Movers: Wachekeshaji mitandaoni ambao wanavuma Kenya

  • | BBC Swahili
    6,182 views
    Duration: 2:57
    Kundi la 'Heha Movers' ni wachekeshaji na watengeneza maudhui wa mitandaoni ambao wamevuma nchini Kenya hivi karibuni. Lakini hapo awali, vijana hao walikuwa wahuni na waliogopwa sana katika mtaa wa mabanda wa Kibera jijini Nairobi. Hata hivyo, sasa wanatumia maudhui ya mitandaoni kuwatoa vijana wenzao katika maisha ya uhuni na kuonyesha kwamba vijana wanaweza kujipatia kipato kwa njia sahihi na kwa kutumia mitandao ya kijamii. Mtangazaji Kinara wa BBC @roncliffeodit alikutana na 'Heha Movers' na wakamsimulia safari yao ya umaarufu. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw