Skip to main content
Skip to main content

Helikopta yaanguka mtoni na kuua mtu mmoja Indonesia

  • | BBC Swahili
    16,139 views
    Duration: 31s
    Tazama tukio la helikopta iliyokuwa ikifanya operesheni ya kuzima moto huko Indonesia ilivyoanguka mtoni na kusababisha kifo cha mtu mmoja. Raia wawili wa kigeni waliokolewa baada ya helikopta hiyo kutumbukia mtoni katika jimbo la Kalimantan Kusini wakati wa operesheni ya kukabiliana na moto wa nyika. Moto wa misituni nchini Indonesia umekuwa ukiendelea kwa miezi kadhaa, ukichochewa zaidi na athari za hali ya hewa ya El Niño. #bbcswahili #indonesia #elnino Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw