- 1,088 viewsDuration: 2:58Aliyekuwa mwenyekiti wa zamani wa Bodi ya Nairobi Hospital, Herman Manyora, ameachiliwa kwa dhamana ya shilingi milioni 2 baada ya kukana mashtaka ya kupokea hongo kuhusu utoaji wa zabuni katika hospitali hiyo. Manyora alifikishwa katika Mahakama ya Milimani Jumatano kwa madai ya kuchukua zaidi ya shilingi laki tano kutoka kwa mwezakandarasi mmoja baada ya kumwahidi kutumia uwezo wake kuhakikisha kampuni yake itapewa zabuni na hospitali hiyo.