Historia ya mapembe ya Mombasa

  • | Citizen TV
    806 views

    Eneo la Mapembeni katikati mwa Jiji la Mombasa ni mojawapo ya maeneo yanayotoa taswira na mandhari ya Pwani kwa wanaozuru mji huo wa Kitalii. Na japo wengi wanaofika pale hutaka kupiga picha kuashirikia kufika mwambaoni, wengi hawana ufahamu kuhusu historia ya mapembe haya.