- 3,210 viewsDuration: 2:17Msimu huu wa Krismasi, maduka ya jumla,ikulu ya Whitehouse na hata baadhi ya watu wamepamba sebule zao kwaa miti ya krismasi, Lakini umeshawahi kujiuliza utamaduni huu wa mti wa Krismasi ulianzia wapi na nini maana ya mti huo? - Phyllis Mwatee anajibu maswali haya na pia kutueleza ni aina gani ya mti ambao hutumika kwa mapambo ya Krismasi. - - - #krismas #tanzaniatiktok #bbcswahili #foryou #mtiwakrismasi #wakristo #uganda #kenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw