- 82,283 viewsDuration: 2:26Tazama mke wa kwanza akimkaribisha mke wa pili madhabahuni! 😮 Mchungaji mmoja nchini Marekani amezua gumzo mtandaoni baada ya kumtambulisha hadharani mke wake wa pili kanisani, huku mke wake wa kwanza akimuunga mkono mbele ya waumini. Israel T. Ford, mwanzilishi wa kanisa la LifeWorks Church katika jimbo la Ohio, alimkaribisha Shakayla Ford wakati wa ibada. Kilichowashangaza wengi ni jinsi mke wake wa kwanza, Lydia Ford, ambaye pia ni mchungaji mwenza, alivyompokea Shakayla na kumtaja kama "dada yangu katika ndoa" “. Je, unaunga mkono ndoa ya mke zaidi ya mmoja katika Ukristo? Kwa nini? Tuambie maoni yako kwenye sehemu ya maoni! Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw