HomaBay yang’ara kutokana na sherehe za Madaraka Dei

  • | KBC Video
    35 views

    Wakazi wa mji wa Homabay wameelezea furaha yao kutokana na sherehe za Madaraka dei zitakazoandaliwa katika kaunti hiyo, ambazo zimechangia miradi ya maendeleo. Mwanahabari wetu Kamuche Menza anatuletea taswira za shughuli za siku ya leo mjini humo huku maandalizi ya sherehe hizo yakitamatika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive