11 Dec 2025 2:03 pm | Citizen TV 395 views Duration: 1:40 Kitengo cha watoto wachanga katika Hospitali ya Rufaa ya Kaunti ya Kapsabet kimepata vifaa muhimu vya matibabu vilivyolenga kuboresha huduma za uzazi