Skip to main content
Skip to main content

Hospitali ya Samburu yawapa matumaini wajawazito walio katika hatari kubwa ya kujifungua

  • | Citizen TV
    132 views
    Duration: 3:43
    Makazi maalumu katika Hospitali ya Rufaa ya Kaunti ya Samburu inawapa matumaini wanawake wachanga walio na ujauzito ulio katika hatari kubwa, kwa kuwapatia huduma maalumu za afya na ufuatiliaji wa karibu wanaposubiri kujifungua kwenye makao maalum hospitalini humo. Kituo hicho kinawasaidia kina mama kukabiliana na matatizo ya kiafya, historia ya kupoteza mimba na changamoto za kufikia huduma za afya, huku kikiwapa nafasi nyingine ya kujifungua salama.