- 6,673 viewsDuration: 4:50Kwa takriban miezi mitano sasa, taarifa kuhusu hoteli iliyodaiwa kujengwa kwenye kivuko cha mara kimeibua mdahalo mtandaoni. Hoteli hiyo ya ritz carlton sasa ina kibarua cha kujitetea mahakamani baada ya mwanaharakati wa mazingira joel meitemei kuishtaki na kutoa ombi kwa mahakama kuamuru kuwa hoteli hiyo iondolewe