Huduma za droni kufikisha bidhaa nyumbani zawafurahisha wateja wengi wa Walmart

  • | VOA Swahili
    97 views
    Kwenye kitongoji kilichopo mashariki mwa Jimbo la Virginia, Marekani, kitu kisicho cha kawaida chafanyika. Bidhaa zinawasilishwa kwa familia moja kwa ndege isiyokuwa na rubani. Je, ni kipi cha kustaajabisha. Ungana na mwandishi wetu akikuletea huduma ambayo imekonga mioyo ya wateja wengi... Pia utaweza kusikia hisia na maoni ya wateja ambao wamenufaika na huduma hiyo. #droni #ndege #usafirishaji #wateja #vitongoji #voa #voaswahili #dunianileo #virginia #marekani - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.