Huduma zimeendelea kutatizwa hospitali za umma

  • | Citizen TV
    160 views

    Mamia ya wakenya wameendela kuhangaika kwa siku ya nane ya mgomo hii leo. Wagonjwa waliotafuta huduma katika hopsitali za umma walirejea nyumbani huku hospitali nyingi za rufaa zikisalia kutoa huduma za dharura pekee. Haya yanajiri huku waathiriwa sasa wakiitaka serikali kuridhiana na muungano wa madaktari ili kuwaepushia machungu zaidi kutokana na mgomo huo wa madaktari