- 3,427 viewsDuration: 23:32Kuachana kwa wazazi wake kulisambaratisha familia yao na kubadili uelekeo wa maisha ya Lilian Simpson aliyeazimia kukabiliana na mazingira magumu kufikia ndoto yake ya kutafuta elimu akiwa bado binti mdogo. Lilian ambaye ni mwalimu wa chuo cha usimamizi wa fedha anayetoa elimu ya uwekezaji nchini Tanzania akiwalenga vijana na wanawake mtandaoni anasema baadhi ya watu hawapendi kutafuta maarifa ya elimu ya fedha na uwekezaji wakiamini inawahusu matajiri au watu wenye vipato vikubwa tu. Mwandishi wa BBC @martha_saranga katika waridi wa BBC alipata fursa ya kusimuliwa safari hii Tembelea kurasa yetu ya BBCSwahili Youtube #bbcswahili #waridiwabbc #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw