10 Apr 2026 10:13 am | Citizen TV 120 views Duration: 1:50 Huku tume ya IEBC ikiendelea na zoezi la kusajili wapigakura kote nchini,baadhi ya maeneo yameandikisha idadi ndogo ya wapiga kura huku serikali ikiendelea kuwashawishi wakenya kujitokeza.