- 2,057 viewsDuration: 1:45Gavana wa zamani wa migori okoth Obado pamoja na washtakiwa wenzake wawili Michael Oyamo na Caspal Obiero wanasikiliza hoja za kuhukumiwa leo baada ya kupatikana na hatia ya kumuua aliyekuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha rongo Sharon Otieno. Hukumu hiyo inatolewa katika mahakama ya milimani hapa nairobi.