Skip to main content
Skip to main content

Hussein Ali Mwinyi ameapishwa rasmi kuiongoza Zanzibar kwa kipindi cha pili #zanzibar #uchaguzi2025

  • | BBC Swahili
    12,822 views
    Duration: 32s
    Siku moja baada ya kutangazwa mshindi, Dkt Hussein Ali Mwinyi ameapishwa rasmi kuwa Rais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili. - Jaji mkuu wa Zanzibar Khamis Ramadhan Abdallah aliongoza hafla hiyo iliyopeperushwa mubashara kwenye runinga ya taifa. - #uchaguzi2025 #bbcswahili #tanzania #foryou #zanzibar Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw