- 20,292 viewsDuration: 32sTume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemtangaza Dk Hussein Ali Mwinyi kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais katika visiwa hivyo. Dk.Mwinyi aligombea kwa tiketi ya chama tawala cha CCM Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw