Skip to main content
Skip to main content

Ichungwah amjibu Gachagua kwa matamshi ya kueneza chuki

  • | Citizen TV
    66,553 views
    Duration: 3:02
    Kiongozi wa wengi Katika Bunge la Kitaifa Kimani Ichungwah amemjibu aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kwa matamshi yake ya hapo jana akisema kwamba anaendelea kueneza chuki na ukabila. Suala hili likipenyeza bungeni ambako baadhi ya wabunge wametaka kanuni na sheria kali kuwekwa kwa wanasiasa wanaoeneza chuki haswa wakati wa mazishi. Hisia pia zimetolewa kutoka kwa waziri wa teknolojia William Kabogo