- 4,906 viewsDuration: 10:01Idadi ndogo ya wapiga kura ilijitokeza katika uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Ugunja, ambapo wagombea kumi wanapigania nafasi ya ubunge. Licha ya shuguli hiyo kuendelea bila tashwishi, baadhi ya wagombea waliibua madai ya ukiukaji wa sheria yakiwemo madai ya hongo kwa wapiga kura. Hata hivyo, idadi kubwa ya wakongwe walijitokeza kushiriki uchaguzi huu wa leo