- 3,486 viewsDuration: 6:01Idadi ndogo ya wapiga kura imeshuhudiwa katika vituo kadhaa kwenye uchaguzi mdogo wa eneobunge la malava kaunti ya Kakamega. Wakazi wanapiga kura katika vituo 198 vya kupigia kura kwenye kinyang'anyiro ambacho kimewavutia wagombea tisa.