Idadi ya waliofariki kufuatia tetemeko la ardhi Uturuki yafika 9,600

  • | Citizen TV
    1,817 views

    saa 48 baada ya tetemeko la ardhi kutokea uturuki na syria, Waokoaji waendelea kuchakura vifusi kutafuta manusura zaidi huku idadi ya waliofariki ikiwa ni zaidi ya 9,000. Waokoaji wako mbioni kutafuta walioporomokewa na majumba huku hali ya anga ikitatiza. kukatika kwa barabara na miundomsingi nyingine kunaathiri shughuli za ukokoaji huku wakazi wakihofia kuwa hali itazidi kuwa mbaya na watu zaidi kufariki.