Idadi ya wanafunzi ambao hawajajiunga na shule za upili ingali kubwa

  • | K24 Video
    34 views

    Idadi ya wanafunzi ambao hawajajiunga na shule za upili hadi kufikia sasa ingali kubwa. Hali inahofiwa imechangiwa na uchochole katika jamii. Wanafunzi ambao wanahitaji ufadhili wa masomo kutoka kwa serikali wameongezeka na kupita idadi ya elfu 9 iliyolengwa