Skip to main content
Skip to main content

Idara ya Uhamiaji Kenya yafafanua madai ya pasipoti haramu

  • | Citizen TV
    758 views
    Duration: 3:02
    Kwa wiki kadhaa, wizara ya usalama, na haswa idara ya uhamiaji imesalia kimya kuhusiana na madai kuwa wapiganaji wa kundi la Rapid Support Forces wanaoendeleza mapigano nchini Sudan, na mfanyibiashara mwenye sifa mbaya kutoka Zimbabwe walipewa pasipoti ya Kenya kinyume cha sheria. Lakini leo, Katibu wa uhamiaji Dkt. belio Kipsang amekatiza kimya hicho na kuelezea kuwa waziri wa usalama na mwenzake wa masuala ya kigeni wanachunguza madai hayo. Kipsang anasema watu hao hawakupewa hati hizo na sheria inafuatwa kutoa stakabadhi hiyo muhimu kwa wanaostahili.