Skip to main content
Skip to main content

IEBC: Chaguzi ndogo zilionyesha utayari wa uchaguzi mkuu 2027

  • | Citizen TV
    128 views
    Tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka inasema chaguzi ndogo zilizopita zilitoa taswira kamili ya utayari wake wa kusimamia uchaguzi mkuu ujao licha ya changamoto kadhaa za utovu wa usalama. Aidha, idara ya polisi inasema ilikabiliana na wahusi waliozua ghasia huku uchunguzi zaidi ukiendelea dhidi ya waliovunja sheria za uchaguzi.