- 1,483 viewsDuration: 1:32Kuhakikisha kuwa matokeo ya uchaguzi yanayojumlishwa na kupeperushwa mubashara kwa umma ni sahihi. IEBC inasema hatua hiyo itazuia mgawanyiko miongoni mwa wananchi. Haya yanajiri huku vyombo vya habari vikisema kuna mipango ya kushirikiana kujumlishha kwa pamoja matokeo, ili kutoa matokeo yanayolingana. Haya yanajiri huku IEBC na vyombo vya habari zikitia saini makubaliano ya kufanya kazi kwa uwazi taifa linapoelekea kwenye uchaguzi mkuu mwakani.